Kabla ya kuanza kutolewa kwa tuzo za MTV Africa, maarufu kama MTV MAMA, mastaa mbalimbali barani Afrika na sehemu zingine duniani walipita kwenye red carpet kupiga picha. Miongoni mwa mastaa wa Marekani waliokuwepo ni pamoja na Trey Songz, Miguel na French Montana aliyekuwa ameongozana na mchumba wake Khloe Kardashian ambaye ni mdogo wake na Kim Kardashian. Camera za Bongo5 ni miongoni mwa camera nyingi zilizokuwa zikichukua picha za mastaa hao. Jionee.
Muigizajiwa filamu wa Tanzania, Aunty Ezekiel
Msanii wa Nigeria, Chidinma
Clarence Peter, muongozaji wa video ya Diamond ‘My Number One; Remix
Crew ya Clouds TV
Davido aliibuka na tuzo mbili, Best Male na Artist of the Year
Fally-Ipupa
Sexies DJ? DJ wa kike aliyecheza muziki kwenye tuzo
Dj Fresh
Mbunifu wa mavazi wa Tanzania aishiye Afrika Kusini, Anisa Mpungwe
Diamond, Wema na Babu Tale
Diamond Platnumz akiwa na Wema Sepetu
Mshindi wa tuzo ya Best Live Act, Flavour na washkaji zake
Msanii wa label ya Bad Boy, French Montana ana asili ya Morocco
Khloe Kardashian ambaye kwa sasa ana uhusiano wa kimapenzi na French Montana
Khloe Kardashian
Kisura wa Mafikizolo Nhlanhla Nciza
Host wa MTV MAMA Marlon Wayans akihojiwa
Mafikizolo waliibuka na tuzo mbili Song of the Year: “Khona” na Best Group
Kundi la Kenya la Sauti Sol nalo lilitoka mikono mitupu
Kundi la Big Nuz maarufu kwa muziki wa Kwaito
Mdogo wake na Kim Kardashian, Khloe
Muimbaji wa Marekani, Miguel
Msanii wa Afrika Kusini, Danny K
Msanii wa Nigeria Dr Sid
Muimbaji wa muziki wa house kutoka Afrika Kusini, Donald
Muigizaji wa Marekani Tuzo aliyesherehesha tuzo hizo, Marlon Wayans
Msanii wa Nigeria anayekuja kwa kasi, Phyno
Muimbaji wa Marekani Miguel aliyetumbuiza kwenye tuzo hizo
Muimbaji wa Nigeria Chidinma akiwa na muongozaji wa video, Clarence Peter aliyeshinda tuzo mbili, Best Video na Transform Today Award by Absolut
Muimbaji wa Nigeria, KCEE
Mwwaaa: Rapper Khuli Chana na mpenzi wake
Mwanamuziki wa Ghana, Efya
Rapper mkali anastahilii demu mkali
Rapper French Montana aliyetumbuiza kwenye tuzo
Queen wa Televisheni nchini Afrika Kusini, Bonang Matheba
Rapper wa Uganda, Navio akiwa na crew yake
Rapper wa Afrika Kusini, AKA
Rapper wa Afrika Kusini, Khuli Chana akiwa na mpenzi wake
Shadee akiwa na mhariri wa Bongo5, Fredrick Bundala
Timu ya Bongo5, Sandu Mpanda aka Kidboy na Fredrick Bundala aka Skywalker
Tiwa Savage na mume wake
Wema akiwa pembeni kumsupport Diamond
Wapiga picha mbalimbali wakitafuta angle nzuri ya kumchukua Trey
Trey Songz, msanii mwingine wa Marekani aliyetumbuiza
Trey Songz akitaniana na wapiga picha
Mshindi wa tuzo ya Best Female Act, Tiwa Savage kutoka Nigeria