Habari

Exclusive Video: Q-Chilla afunguka tena ‘I just want to introduce somebody different’

Q-Chilla aka Vocalist Assassin amerejea tena na kipindi hiki ameendelea kusisitiza mabadiliko makubwa kwenye muziki wake ambao anasema unalenga zaidi kuliteka soko la nje.

“I just want to introduce somebody different kutoka kwenye attitude, personality and all those stories that they heard, that is history this is the new Chilla, this is the new Vocalist Assassin, somebody that you heard about lots of stuff na ghafla anakuja na mzigo mkubwa kama huo, what would you say,” anasema.

Amesema amekuwa akiumia sana kuona wasanii wa nje wanakuja nchini na kuchukua fedha zetu na kwamba kama hatopewa tena nafasi, ni bora aende yeye nchi za nje kuchukuza fedha zao pia.

“Kitu kinachoniuma ni kwamba kwanini watu watoke Ulaya waje waichukue hela yetu nyumbani? Kama sijapewa nyumbani basi niifuate ya watu niirudishe nyumbani, this is it, and nothing is gonna stop me sababu huu ni muda wangu wa mwisho.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents