Mahojiano

Familia ya P Funk Majani yaeleza chanzo cha kifo cha mama mzazi wa Majani, Amefia Uholanzi (+Video)

Msemaji wa familia ya Producers wa lebo ya Bongo rekodi @majani187 ameeleza chanzo cha kifo cha mama mzazi wa Producer huyo na kusema kuwa mama mzazi wa @majani187 amefia Uholanzi na usiku huu Majani anaondoka kwa ajili ya taratibu za kusafirisha ambapo anatarajiwa kuzikwa mkoani Morogoro.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents