Burudani

Foby afunguka kubaniwa na wasanii wenzake

Msanii wa muziki katika kiwanda cha bongo flava Frank Fedrick a.k.a Foby anahit na ngoma ya “ila ” kwa sasa amefunguka juu ya kundi la bwela kumi kumbania kuingiza sauti yake katika ngoma hiyo huku akieleza juu ya ukaribu alionao na producer C9.

Akizungumza na Bongo5, Foby ameeleza kuwa kundi la bwela kuni kutokea kusini lilikuwa likihusisha baadhi ya wasanii wanaotokea mkoa wakunini, hivyo C9 akampatia nafasi kama msanii wa kawaida kuingiza chorous na akaipenda ila baadhi wa wasanii wenzie wawakupenda.

“Nilingiza chorus kwenye project ya bwela kuni na producer aliipenda akaniambia niingize na Verse lakini wasanii wenzangu hawakupenda hivyo” alisema Foby

Foby pia ameeleza ukaribu alionao na producer C9 kuwa ni wakazi na kwakuwa ni producer aliyemuamini hata kabla hayatoa ngoma yoyote hivyo anaamini ataendelea kufanya kazi na producer huyo.

Na Laila Sued

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents