Shinda na SIM Account

Hanscana amshindwa Darassa ‘ana brand iliyonizidi nguvu’ (Video)

Mtayarishaji wa muziki, Hanscana amesema hawezi kumsimamia rapa Darassa kwa kuwa ni msanii mkubwa ambaye amemzidi katika ukubwa brand. Director huyo wa video za muziki amefungua label yake mpya ya muziki na kuanza kumsaini msanii aitwaye, Mario.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW