Burudani

Hasara aliyoipata Roma baada ya uvamizi Tongwe Records

Msanii Roma Mkatoliki amesema uvamizi wa studio za Tongwe Records umempelekea kupoteza nyimbo nyingi ambazo ni zaidi ya albam moja.

Roma Mkatoliki

Roma amesema kutokana na hasara hiyo, kwa sasa bado hayupo tayari kutoa wimbo mpya kutokana na muziki kuwa ni hisia na kwa sasa hayupo katika mazingira hayo.

“Albam kabisa, ni kama material ya kutoka mwaka 2012/13 kushuka huku chini mengi yamesepa ndio maalbam ya kipindi kile. Na always tunasema muziki ni hisia, kwa hiyo hatuko kwenye mazingira comfortable ya kuchukua kalamu na karatasi na kuanza kuandika vitu, nikirelax naweza nikatoa (wimbo), kwa hiyo sasa hivi muendelee kurequest na kupiga Usimsahau Mchizi,” Roma alikiambia kipindi cha XXL.

By Peter Akaro

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents