Burudani

Hii ndio clip ikimuonyesha Alikiba akirekodi, huenda akawafanyia Suprise mashabiki wake mwisho wa mwaka (+Video)

Hii ndio clip ikimuonyesha Alikiba akirekodi, huenda akawafanyia Suprise mashabiki wake mwisho wa mwaka (+Video)

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Alikiba ameonekana akiwa location akirekodi, huenda ikawa anarekodi video ya ngoma ambayo aliahidi ataiachia.

Msanii huyo wakati akipiga stori na Bongo5 alisema kwamba kuna ngoma nyingi sana zinakuja baada ya kuachia video ya ngoma yake ya Hela pamoja na ile aliyoifanya na kundi zima la King’smusic ya “Mwambie sina”.

Video hiyo ilanza kusambaa baada ya msanii huyo kutoka Kahama wakati wa Show yao pamoja na Kingsmusic ambayo ilifanyika Kahama wikedi iliyopita ya tarehe 24-11-2018, ambapo wasanii hao walionekana wakiwa Mwanza.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents