Habari
Hii ni taarifa ya Spika Ndugai na wajumbe wa kamati ya Bunge baada ya kutembelea TPA
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai alifanya ziara katika bandari ya Dar es Salaam, TPA kwa lengo la kukutana na mamlaka hiyo ili kupata maelezo ya kina juu ya makontena yenye mchanga wa dhahabu yanayoshikiliwa na mamlaka hiyo yaliyokuwa yasafirishwe nje ya nchi.
Spika Ndugai alipotembelea bandari ya Dar Jumapili.
Hii ni taarifa ya walichokibaini:
Na Emmy Mwaipopo