Habari
Hiki ndicho kilichomuua Profesa Maji Marefu (+video)
Katibu wa Bunge, Stephen Kigaigai, amesoma wasifu wa marehemu Mbunge wa Korogwe vijijini, Stephen Ngonyani(Majimarefu ) na kueleza ugonjwa uliomuua mbunge huyo.