Habari

Hivi ndivyo Balozi Kidata alivyomuaga Makamu wa Rais (+Picha)

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameagana na Balozi mpya wa Tanzania nchini Canada, Mhe Alphayo Kidata aliyefika ofisini kwa Makamu wa Rais, Ikulu jijini Dar es Salaam.

Tazama picha zaidi;

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents