Burudani

Isihaka: Mke wangu Queen Darleen ana hofu ya Mungu, mwanamke akiwa na hofu ya Mungu ndoa yenu itakuwa salama (Video)

Mume wa msanii wa muziki Queen Darleen amedai mke wake huyo anazungumziwa sana mitandaoni huku wengine wakimponda lakini yeye anajua amemuona mwanamke wa namna gani katika maisha yake.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents