It’s not over yet: Nikki Mbishi na Nikki wa Pili watupiana vijembe kwenye Twitter!

nikk nikk

Tulidhani beef kati ya Weusi na Nikki Mbishi imeisha kumbe ndio kama inaanza upya tena! Kupitia mtandao wa Twitter leo, Nikki wa Pili na Nikki Mbishi ambao wote wanasifika kwa uandishi mkali wa mashairi ya Hip Hop wametupiana vijembe vya kizushi.

Alianza Nikki wa Pili aliyeandika:

Nikk 1

Nikki Mbishi alijibu:
Nikk 2

Baada ya mlolongo mrefu wa vijembe kutoka kwa Mbishi hii ni miongini mwa tweet inayoonekana kuwaendea tena Weusi:

Mi nikimchana mtu namtaja jina ila wao wakimchana mtu wanazunguka vichakani kutwa nzima…hahahhaa…waoga bwana..am off the hook yow..

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents