Burudani

Izzo Bizness aingia kwenye biashara ya Internet Café

Damu ya ujasiriamali katika mwili wa rapper kutoka Mbeya Emmanuel Simwinga aka Izzo Bizness inaendelea kuchemka baada ya kuamua kufungua Internet Café na stationery.

Rapper huyo ameshare picha ya chumba cha biashara hiyo kupitia Twitter na kuandika, “Teku university soon Internet cafe pamoja na stationery zitaanza Kazi karibuni sana na tuko pamoja.”

Tayari Izzo ana duka la nguo lililopo jijini Mbeya.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents