Burudani

Jason Derulo awekwa kitimoto Afrika Kusini baada ya kuwauliza kama wanajua Kiingereza!

Jason Derulo ameiona ziara yake ya Afrika Kusini chungu baada ya kutamka maneno yaliyowakera wasouth wengi.

Jason-Derulo1

Muimbaji huyo wa Marekani alitoa kauli hiyo wakati wa tuzo za ANN7, South African of the Year jijini Johannesburg.

“Y’all speak English, right?” aliuliza.

Mashabiki wa muziki waliohudhuria show hiyo walikimbilia kwenye mitandao ya kijamii kuelezea kuchukizwa kwao na kauli hiyo.

Baada ya kushambuliwa Jason alilazimika kuandika kwenye Twitter: ‘Speaking English’ remark I made, was directed to a specific table. It wasn’t literal just a figure of speech when someone isn’t responding.”

Hizi ni baadhi ta Tweets

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents