Burudani
Jinsi Esma Platnumz alivyorudiana na Petit, kumbe walipanga njama za kuwaacha wapenzi wao (Video)
Dada yake Diamond, Esma Platnumz ambaye kwa sasa amerudiana na Baba mtoto wake, Petit Man, amefunguka jinsi walivyopanga mbinu ya kuachana na wapenzi wao ili warudiane.