Burudani

Jux auonesha tena mjengo wake, asema utakuwa na gym, studio na bwawa la kuogelea (Picha)

Nyumba ya Jux yenye ghorofa moja itakuwa na hadhi ya kistaa, kwa mujibu wake.

jux
Jux akikagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba yake

Nyumba hiyo ya kifahari ambayo inaelekea kukamilika itakuwa na vitu ambavyo tumezoea kuviona kwenye mijengo ya wasanii wa Marekani.

Amepanga kuweka studio ya kurekodia muziki, gym kwaajili ya mazoezi na bwawa la kuogelea.

“Major plans for my humble abode – home recording studio, gym and pool and maybe a puppy for bae. God is good! Planning ahead #RealEstate #Lifestyle #Property #Blessings #AfricanBoy,” ameandika Jux kwenye picha aliyoweka

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents