AFCON 2019 Tupogo!
Vodacom Data Datani!

Kaka yake na Pancho awaonya wanaosema mdogo wake alienda kula bata Mbudya (+Video)

Alienda kikazi na sio kula bata

Kaka wa marehemu Pancho amefunguka mwanzo mwisho juu ya kile kinachoongelewa na watu mbalimbali kuhusu msiba wa mdogo wake. Alisema kuwa ” Sisi tunachojua amezama kwenye maji mengine hatuyajui kikubwa tumpumzishe ndugu yetu” alipoulizwa kuhusu kwenda Mbudya alisema “Alienda kikazi na sio kula bata kama watu wengi wanavyodai”

Lakini pia aliongeza ” Yeye ndio aliyemfundisha Pancho mambo ya muziki kwa yeye ni mwalimu ya sanaa,kwahiyo Pancho alipitia kwenye mikono yake.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW