Burudani

Kampuni ya kuzalisha filamu ‘Starline Films’ yazinduliwa rasmi Dar, Bodi ya Filamu watangaza neema (Video)

Kampuni ya kuzalisha filamu ya ‘Starline Films’ imezinduliwa jijini Dar es salaam Ijumaa hii na Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Joyce Fisoo akimwakilisha Waziri Mwakyembe ambaye alipata dharura. Mama Fisoo alisema uzinduzi wa kampuni hiyo utaleta chachu katika maendeleo ya tasnia ya filamu nchini Tanzania na kwa wao kama Bodi ya Filamu wataweka mikakati kila kampuni kubwa za nje zinavyokuja kushoot matukio ndani ya Tanzania watumie baadhi ya kampuni za ndani ili kubadilishana ujuzi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents