Tupo Nawe

Kanye West adhihirisha ukomo wa bifu lake na Drake kupitia mtoto wake “North”

Kanye West adhihirisha ukomo wa bifu lake na Drake kupitia mtoto wake "North"

Haujapita muda sana tangu washikaji wawili mmoja kutoka Marekani na mwingine kutoka Canada hapa nawamaanisha Drake pamoja na Kanye West,ambao waliweza kumaliza bifu lao kuhusiana na Pusha T.

Lakini pia majuzi walionekana Drake kuweka mambo yao sawa na Meek mill wakati wanachangia jukwaa moja,haya yanakuja baada ya kuonekana wasanii wengi wa Marekani kuonekana wamemaliza tofauti zao kumbe bado kuna mambo yanaendelea chini ya kapeti.

Kupitia ukurasa wake mpya alioufungua tena wa Instagram Kanye West ameweza kupost video ikimuonesha mtoto wake North akiuimba wimbo wa Drake “In my feelings” tena kwa tabasamu lote.

hivyo ilimlazimu Kanye West kuipost video hiyo kwenye ukurasa wake wa Instagram kuonyesha kuwa hana bifu tena na Drake kwani anaonyesha upendo wa hali ya juu huku akiendelea kumsapoti Drake.

Ona video hii:-

 

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW