Burudani

Kauli ya Babu Tale ‘wanaume wa WCB wote waaminifu’ yawa gumzo

Mmoja kati ya mameneja wa WCB, Babu Tale ametoa kauli tata iliyoibua gumzo katika mitandao ya kijamii.

Tale Jumatano hii amepost picha yenye maneno yalioandikwa ‘Wanaume wa WCB wote waaminifu’ kupitia ukurasa wake wa Instagram.

Mashibiki wa label hiyo katika mitandao ya kijamii wameonyeshwa kuchekeshwa na kauli hiyo huku wengi kati ya hao wakiandika kaneno ya kudhiaki.

Angalia maoni ya mashabiki hayo.

Petermmole8726

Uwongo hao wote ni wezi ispokuwa rich pekeyake nfio ajawa bado mwizi.

Disminder_official
?????pia ni majembe sana na wanajituma katika kazii
queenlozie@babutale Alafu wewe ndio mzee wa boma hapo WCB? nakama ni wewe unawezaje kukubali kuletewa wajukuu bila ndoa za wanao? najua wewe ni mfano wa kuigwa sababu ulifunga ndoa… sasa kwanini usiwahimize nawao wanao?nakama imetokea kibahatibahati mjukuu ukaletewa basi niwajibu wako kuwahimiza pasi kukuletea mjukuu wa pili tena bila ndoa kama mwanao mkubwa @diamondplatnumz……@babutale Pambana na hali yako….nasio povu #TUNAHITAJINDOAWCB

edsoysoma@y_slider
kwali maisha yametaiti. yani unazunguka tu mitandaoni upate pa kupunguzia stress kwa matusi!!!
mgenismussaInawezekana.

annish455Ww
kamanda_wa_sepenga cna muda wako kajambe mbelembele,,apa ni mm na shemeji yangu babutula ww ckujui niondolee kisimi chako kibovu apa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents