Habari

Keri Hilson aizimia Ashawo Remix ya Flavour


Wakati ambapo wimbo wa Flavour wa Nigeria uliohit mwaka jana na mwanzoni mwa mwaka huu ukiwa umepotea kidogo kwenye playlist za radio na TV, mwanadada Keri Hilson wa Marekani ndio kwanza wimbo huo unampa mzuka. Kupitia Twitter jana mrembo huyo ameusifia wimbo huo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents