Burudani

Khalighraph Jones na Msanii Adasa waingia studio

Baada ya Khaligraph Jones kumusifia Msanii Adasa ambae kila uchao anaonekana kukaza kamba za kulenga kufikia malengo ya juu, staa huyo na rapper mkali Africa amethibitisha kuingia studio na nyota huyu anaekua kwa kasi Adasa.

Kupiti akaunti yake ya instagram Adasa alirusha video fupi ikimuonyesha Khaligraph akifurahia moja kati ya muziki wake kwa jina tunaenda, huku akimumwagia sifa likuki Adasa. Na hatimae mtaa hawa wawili wamepigwa picha pamoja thibitisho kua tayari kuna kazi yao ya pamoja ipo njiani.

Imeandikwa na muandishi Changez Ndzai- Kenya

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents