Burudani

Khole Kardashian ni mama kijacho?

Ikiwa dada yake Kim ana heka heka za kutafuta mtoto wa tatu, huwenda Khole ameamua kujibu kwa kumjulisha anategemea kupata mtoto na mpezi wake Tristan Thompson .

Khole ameibua maswali katika mitando mbalimbali baada ya kuposti picha akiwa na mpezi wake na kuweka maandishi yanayosomeka “Dad + Mom”.

Picha hiyo alipost siku yake ya kuzaliwa Juni 25 akiwa na hubby wake ambaye ni mcheza kikapu wa timu ya Cleveland Cavaliers, hata hivyo aliendelea alitweet na tweet zake zimeweza kuacha maswali zaidi.

“I’ve never had a surprise party in my life! I was blown away! Im so lucky and blessed! Thank you so much baby!!! You treat me like a queen!.”

Japo hajasema hadharini ila huwenda Khloe anatuambia yeye ni mama kijacho mpy katika famila hiyo baada ya kutweet ,”Ok now I need a hangover remedy lol.”

Na Laila Sued

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents