Habari
Kibonzo: MwanaFA, Diamond, Mzee Yusuf, Mzee Majuto, Ommy Dimpoz na Zitto Kabwe wanawatakia waislam mfungo mwema wa Ramadhan
Mkono wa mchoraji wetu Dennis Herman aka Kapwipwi umemkuna achore picha hii. Tunawatakia waislam wote duniani mfungo mwema wa Ramadhan.