Kijana wa kitanzania aliyejipatia umaarufu ulaya: Diamond alinipost nikajulikana Afrika Mashariki (+ Video)

@petitafro ni kijana wa Kitanzania aliyeamua kujiajiri kupitia kipaji chake cha kucheza ( Dance), kwa sasa anaishi katika mataifa mawili amabyo ni Uholanzi na Uhispania lakini hasa akiwa Uholanzi na hata kazi zake anazifanyia akiwa huko.

Amepata bahati ya kuzungumza na Bongo5 na kueleza alivyoanza na kuamua kuwa mwalimu wa dancing na baadaye kujulikana zaidi kwa bara la Ulaya na jinsi anavyotengeneza pesa kupitia kipaji hicho.

Mbali na hilo @petitafro amezungumzia kuhusu muziki wa Bongo Fleva unavyosikilizwa na je unasikilizwa kama jinsi watu wanavyoelezewa na ukuaji wake upo je, Petit ameeleza kuwa msanii kutoka WCB @rayvanny hasa kwa taifa la Uholanzi anasikilizwa sana na alianza na wimbo wake wa TETEMA ambayo ulikuwa mkubwa sana kwa taifa hilo.

https://www.youtube.com/watch?v=A0J4LY4hM0w&t=28s

https://www.youtube.com/watch?v=A0J4LY4hM0w&t=28s

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW