Burudani

Kilichomtokea Diamond chamtokea Paul wa P Square kwa kuanguka jukwaani (+Video)

Baada ya takribani wiki moja imepita mpaka sasa hivi baada ya kuanguka jukwaani msanii wa muziki wa kizazi kutoka Tanzania Naseeb Abduly alimaarufu Diamond Platnumz mjini Sumbawanga kimemtokea msanii mwingine kutoka nchini Nigeria.

Msanii huyo kutoka Nigeria ambaye alikuwa anaunda kundi la P Square akiwa na ndugu yake ambaye ni pacha wake Peter, katika paformance aliyoifanya jana katika nchi ya Suriname iliyopo barani America.

Tatizo la kudondoka wasanii jukwaani limekuwa ni tatizo sugu kwa nchi zetu za kiafrika baada ya msanii mwingine kutoka Tanzania Aslay kudondoka jukwaani nchini Kenya, Diamond Platnumz na Raynny na Sasa Paul wa P Square.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents