Burudani

Kim Kardashian kesho kuhost show ya wapendanao nchini Nigeria

Kim+Kardashian+Long+Hairstyles+Long+Braided+7FFonqIwvcOl

Mchumba wa rapper Kanye West, Kim Kardashian anatarajiwa kutua nchini Nigeria kesho. Mrembo huyo na staa wa Reality TV show atakuwa mshereheshaji mwenza pamoja na msanii wa Darey kwenye concert maalum ya Valentine’s Day iliyopewa jina la ‘Love Like a Movie’ itakayofanyika kesho February 17 jijini Lagos kwenye kiota cha Eko Hotel and Suites.

like a movie (640x443)

Wasanii wengine watakaotumbuiza kwenye show hiyo ni pamoja na Iyanya, Darey, Timi Dakolo, Waje, 9ice, Praiz, Naeto C na kundi la Afrika Kusini Jozi.Hivi karibuni Kim aliitembelea nchini Ivory Coast.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents