Aisee DSTV!

Kings Music lamtambulisha msanii mwingine, Killy aeleza kwa uchungu ” Tulikuwa tunalala studio tunakula mlo mmoja kwa siku (+ Video)

Kings Music lamtambulisha msanii mwingine, Killy aeleza kwa uchungu " Tulikuwa tunalala studio tunakula mlo mmoja kwa siku (+ Video)

Kundi la muziki wa Bongo Fleva kutoka katika lebo ya muziki iliyo chini ya Alikiba Kings Music wamefunguka mengi usiyiyajua kuhusu lebo hiyo lakini pia wameweza kumtambulisha mwenzao ambaye wanafanya nae kazi.

Mbali na kumtambulisha msanii huyo pia mmoja msanii anayetoka katika kundi hilo Killy amefunguka kwa uchungu jisi alivyokuwa akipambana kwenye muziki akiwa na Producer Mocco huku wakila mlo mmoja tu kwa siku.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW