Habari

Kituo cha polisi chamshangaza Waziri Nchemba (+Video)

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba alitembelea kituo cha polisi cha wilaya ya Mkalama mkoani singida kuangalia hali ya kituo na utendaji kazi na mazingira ambayo wanayofanyia kazi askari wa kituo hicho ambapo baada ya kuangalia hali ya kituo ilimshangaza.

Hata hivyo Waziri Nchemba alijionea hali ambayo si nzuri ya kituo cha polisi cha wilaya hiyo. Ambapo kituo hicho kina mahabusu moja ya wanaume tu huku wanawake wakiwekwa mapokezi.

Video:

https://youtu.be/utPlnI2_NxI

Na Emmy Mwaipopo

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents