Michezo

Klabu ya Barcelona yapatwa na pigo

Klabu ya Barcelona leo Jumatatu imepatwa na msiba mzito wa kuondokewa na aliyekuwa Rais wa klabu hiyo mwaka 1978-2000, Josep Lluís Nuñez.

Nunez anatajwa kuwa ndiye Rais aliyeleta mabadiliko makubwa ndani ya klabu hiyo kwenye sekta ya kiuchumi na ushawishi.

Nunez ndiye Rais aliyepata kuongoza klabu hiyo kwa muda mrefu miaka 22 katika historia ya klabu hiyo, na amefariki dunia akiwa na miaka 87.

Tayari Rais wa klabu hiyo, Josep Maria Bartomeu ametuma salamu za rambi rambi kufuatia msiba huo.

https://twitter.com/jmbartomeu/status/1069595128396988417

Ndani ya miaka 22 ya urais wake alifanikiwa kushinda mataji makubwa 27 kwenye timu ya mpira wa miguu ya Barcelona na mataji 26 kwenye timu ya mpira wa kikapu.

Titles won under Josep Lluís Nuñez

  • Football: 27 titles

7 Liga : 1984-85, 1990-91, 1991-92, 1992-93, 1993-94, 1997-98 and 1998-99.
6 Copa del Rey: 1980-1981, 1982-1983, 1987-1988, 1989-1990, 1996-1997 and 1997-1998.
2 Copa de la Liga de España : 1983 and 1986.
5 Supercopa de España : 1983, 1991, 1992, 1994 and 1996.
1 Champions League: 1991–92.
4 European Cup Winners’ Cup : 1978–79, 1981–82, 1988–89 and 1996–97.
2 European Super Cup : 1992 and 1997.

  • Basketball: 26 titles

10 Liga ACB: 1980-1981, 1982-1983, 1986-1987, 1987-1988, 1988-1989, 1989-1990, 1994-1995, 1995-1996, 1996-1997, 1998-1999.
9 Copa del Rey: 1978-1979, 1979-1980, 1980-1981, 1981-1982, 1982-1983, 1986-1987, 1987-1988, 1990-1991 and 1993-1994.
2 European Cup Winners’ Cup: 1984-1985 and 1985-1986.
2 Copa Korać: 1986-1987 and 1998-1999.
1 European Super Cup: 1986-1987.
1 World Clubs Championship: 1984-1985.
1 Supercopa de España : 1987-1988.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents