Burudani

Kutana na msanii B Royal mwenye lengo la kufanya makubwa kwenye BongoFleva (Video)

Kila kukicha wasanii wapya wa muziki wa BongoFleva wanazidi kujitokeza kutaka kuonyesha makeke yao kwenye muziki. Leo bongo5 ilifanya mahojiano na muimbaji mpya B Royal na kufunguka mambo mengi aliyoyapanga katika maisha yake ya muziki.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents