Soka saa 24!

Lady Gaga alizitosa $mil.1 za kuperform kwenye mkutano mkuu wa Republican

Lady Gaga alikataa ofa ya dola milioni 1 kwaajili ya kutumbuiza kwenye mkutano mkuu wa chama cha Republican mwaka jana, Washington Examiner limebaini.

Wasanii wengine waliokataa kuperform ni pamoja na Dolly Parton na Pitbull. Hata hivyo Journey, Kid Rock na Lynard Skynard walikubali kutumbuiza.

Kukataa kwa Gaga kumebainika baada ya mashtaka yaliyofunguliwa na wakusanyaji fedha wa Republican, American Action Network dhidi ya kampuni ya Cater America LLC, waliokuwa wakibook wasanii kwaajili ya tukio hilo.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW