Burudani

Lamar atayarisha wimbo wa kupiga vita dawa za kulevya uliofanywa na wasanii zaidi ya 10

Producer wa Fish Crub, Lamar ameproduce wimbo wa wasanii zaidi ya 10 wa Tanzania wenye lengo la kupiga vita matumizi ya dawa za kulevya.

383444_10150694094370740_369143277_n

Amesema bado utengenezaji wa ngoma hiyo unaendelea na wasanii wengine wanaendelea kuingiza sauti zao.

“Wasanii waliofanya ni zaidi ya 10 sababu wanafanya bars nne nne, ina kama dakika 5 hivi,” Lamar aliiambia Bongo5.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents