Habari

Lazaro Nyalandu: Some thug hacked my email account and is busy soliciting money!!

Email yako ilishawahi kuingiliwa na wajuzi wa mitandao na kuanza kuitumia wanavyotaka wao? Kama bado, basi naibu waziri wa Mali Asili na Utalii, Lazaro Nyalandu anaweza kukuelewesha namna inavyokuwa!! Inatia stress hasa kama e-mail yako ni muhimu. Huchelewi kuanza kuitwa tapeli na watu watakaopata e-mail zako zinazowaomba wakuchangie mkwanja, eti uko stranded!

“Some thug hacked my email account and is busy soliciting money from people using my name. Please keep your wallet tight, it’s sad, ametweet mheshimiwa Nyalandu.

The problem is, jamaa wakihack unaweza ukashindwa hata kulog in kwenye e-mail yako kama ilimvyotokea naibu waziri Nyalandu.

‘Trouble with my hacked email, could get it back by today’s end….so sorry.”

Utajueaje kuwa email yako iko hacked? Soma hapo chini:

“People listed in your e-mail contacts report being flooded with spam messages sent from your account. Or, you start receiving a bevy of “bounced” e-mails from random addresses you don’t know. You aren’t able to log into your account or change its settings, or you’ve discovered the settings have been altered. You attempt to use e-mail, and find it has been blocked by your provider.”

Usiombee ikutokee!

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents