Burudani

Lil Ommy afunguka kufurahishwa na ujio wa Darasa ” Mpaka wasanii wamefurahi” (+Video)

Mtangazaji wa kituo cha habari cha Times FM Lil Ommy amefunguka mengi kuhusu ujio wa mwanamuziki Darasa ambaye alipotea kwenye tasnia kwa takribani mwaka mmoja sasa.

Kupitia mahojiano aliyofanya na Bongo5, mtangazaji huyo amefunguka mengi pia kuhusu kukua kwa muziki wetu wa Bongo Fleva lakini pia akitoa maoni yake kuhusu kukosekana kwenye tasnia ya muziki mdau mkubwa wa burudani Ruge Mutahaba.

Haya ndio mahojiano na Lil Ommy:-

By Ally Juma.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents