Burudani

Lil Wayne Kumuoa demu wake!

CEO wa Young Money entertainment pamoja na rapper wa hit single ‘How To Love’ Lil Wayne, amepropose kwa demu wake wa muda sasa, Dhea.

Weezy ambaye anasadikika kua rapper mkali, businessman thabiti pamoja na family man, amekua akisubiriwa kwa muda na mafans pamoja na wadau wake wa karibu kwa suala zima la kusettle down.

So on Valentines day, Weezy ameamua kuhush kelele na kuasi ukapera kwa kumnunulia mpenzin wake huyo bonge la yellow diamond ring ambalo linaaminika kua mamilioni ya dola.

Weezy alifanya proposal hiyo katika restaurant huko Los Angeles ambamo alinyanyuka na kusema, ‘SHE SAID YES!’

So i guess tukae mkao wa kula kwa harusi ya Weezy na Dhea karibuni…..we hope.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents