Lilommy: Diamond ni mkubwa sana Tanzania, tuwe tuna moyo wa ku Appriciate (+Video)

Tambwe alizungumzia suala la @diamondplatnumz kufanyiwa mahojiano na Grammy lakini pia yeye akiwa kama Mtangazaji kuzikosa baadhi ya Interview za wasanii kama @officialalikiba na @harmonize_tz baada ya kujiunga na Wasafi media.

Kuhusu ukubwa Diamond kuliko msanii yeyote Tanzania yalikuwa haya:-

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW