Burudani

Linex adai hamjui Lulu Diva

Baada msanii Bongo Fleva, Lulu Diva kusema amemblock msanii mwenzie Linex katika mtandao wa instagram kutokana na kupishana kauli. Sasa Linex amesema hamjui msanii huyo.


Licha ya kukiri waliwahi kuwa washikaji, Linex ameiambia E-Newz ya EA Radio kuwa hamkumbuki Lulu Diva kama mwanamuziki ila anamkumbuka kama shabiki tu.

“Wewe unaweza kumaindi kublokiwa na mtu ambaye hata haumjui, kwanza sidhani hata kama namba yangu anayo, sijui hata nimemfollow kwanza. Sio lazima kila mtu akujue, mimi mwenyewe naweza nikapita mtaa na mtu asinijue na niwezi kumkasirikia, kila mtu yuko bize na mambo yake, kwa hiyo there no way kila mtu akujue wewe ni nani,” amesema Linex.

By Peter Akaro

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents