Burudani

Lupita Nyong’o hakutegemea kupata shavu la kuigiza kwenye ’12 Years a Slave’

Muigizaji wa Kenya, Lupita Nyong’o, amefanikiwa kupenya Hollywood baada ya kuigiza kwenye filamu ya “12 Years a Slave.” Tangu aigize kama Patsey kwenye filamu hiyo iliyotoka mwaka jana, amekuwa akihusishwa kwenye makava ya majarida mbalimbali maarufu duniani.

131024_pan_dujour_lupita_006_web1.jpg w=900&h=1080

Hivi karibuni ameonekana kwenye kava la jarida la DuJour. Haya ni miongoni mwa yale aliyoyaongea kwenye jarida hilo:

Kuhusu umaarufu alioupata: Maisha yangu yalibadilika wiki tatu zilizopita. Hapo ndipo ratiba yangu ilibadilika kutoka tupo kuwa hivi. Watu wengi wamekuwa wakija na kunishika na kutaka kunikumbatia. Kwa sasa si jambo la kushangaza. Nawaacha wanikumbatie.

Kuhusu usaili wa 12 Years a Slave: nilipogundua kuwa Steve McQueen alikuwa anaiongoza na Brad Pitt alikuwa akiitayarisha, nilidhani hiki ni kitu kikubwa. Sikuwa na matarajio ya kupata nafasi; Hivyo nilienda kwenye usaili kama sehemu ya mazoezi tu. Ilikuwa ni nafasi yangu ya kuwa na uhisika huo kwa dakika 10 na niliumiliki. Kisha nipata sehemu na uoga.”

Lupita+Nyong+o+71st+Annual+Golden+Globe+Awards+bV-Q848863Rl
Kuanzia kushoto: Waigizaji Michael Fassbender, Sarah Paulson, muongozaji wa 12 Years A Slave’ Steve McQueen, Lupita Nyong’o na Chiwetel Ejiofor, washindi wa Best Picture kwenye tuzo za 71 za Golden Globe zilizofanyika January 12, 2014 huko Beverly Hills, California

Lupita+Nyong+o+71st+Annual+Golden+Globe+Awards+o30taMHIXutl

Lupita+Nyong+o+71st+Annual+Golden+Globe+Awards+c1I5F-Vb6lKl

Haya ni mambo 10 unayotakiwa kuyafahamu kuhusu muigizaji huyu mwenye ngozi nyeusi ng’aavu.

1.Nyong’o alizaliwa nchini Mexico baada ya wazazi wa Kikenya kufukuzwa kutokana na sababu za kisiasa. Familia yake baadaye ilirudi Kenya alikoishi katika miaka ya utoto yote. Baadaye alihamia nchini Marekan I ambako alisoma shahada ya kwanza kwenye chuo cha Hampshire huko Massachusetts, na kisha kuhitimu Yale School of Drama mwaka 2012.
2. Nyong’o ni Mjaluo.

3.Anazungumza Kiingereza, Kijaluo, Kiswahili, Kihispania na Kiitaliano.

4. Alianza kuigiza akiwa na miaka 14 akiigiza kwenye mchezo wa “Romeo and Juliet.

5. Kabla ya kuingiza kwenye filamu, Nyong’o alikuwa akiigiza kwenye tamthilia ya “Shuga

6. Kutokana na kuchoshwa na kwenda salon mara kwa mara aliamua kuzinyoa nywele zake akiwa na miaka 19.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents