Habari

Mahakama ya mafisadi kuanza kutema cheche

Mahakama ya maalum ya ufisadi imeanza kufanya kazi zake.

img_2789

Akizungumza jijini Dar es Salaam, Jaji mkuu wa Tanzania, Mohamed Chande Othuman alisema mahakama hiyo imeanza kufanya kazi baada ya sheria yake kuwa tayari na kanuni zake kutolewa.

Alidai kuwa kesi kwenye mahakama hiyo zitachukua miezi tisa kusikilizwa na kutolewa hukumu.

Mahakama hiyo ilianzishwa kutokana na ahadi za Rais John Magufuli ambaye utawala wake umekuwa mstari wa mbele kupiga vita vitendo vya kifisadi.

BY: EMMY MWAIPOPO

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents