Malaika: Huwenda na mimi kesho nikawa kama Mama Samia (Video)

Msanii wa muziki Malaika amefunguka kuzungumzia ujio wake mpya kwenye muziki ambapo pia alipata fursa ya kumzungumzia Makamu wa Rais Mama Samia.

Katika upande wa siasa muimbaji huyo ambaye ameachia wimbo wake mpya hivi karibuni, amesema yeye amefurahasi sana kumuona Mama Samia kafanya vizuri katika Serikali ya Rais Magufuli kitu ambacho amedai kinakwenda kuwafungulia njia wanawake wengine

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW