Burudani

Mama yake na Kim K ammind Kanye West kwa kuizungumzia ‘sex tape’ ya binti yake


Mama yake mzazi na Kim Kardashian, Kris Jenner, ameripotiwa kuchukizwa na kitendo cha Kanye West kuendelea kuizungumzia kanda ya ngono aliyorekodi binti yake miaka kadhaa iliyopita na aliyekuwa mpenzi wake Ray J.

Bosi huyo wa G.O.O.D Music ameizungumzia kanda hiyo kwenye wimbo wake mpya uitwao ‘Clique’.

Kwa mujibu wa chanzo kilichozungumza na mtandao wa RadarOnline, mama huyo amechukia pia kugundua kuwa Kanye West alikuwa akiingalia tape hiyo wakati alipokua akifanya mapenzi na wanawake wengine.

“She thinks it’s a disrespectful claim and told Kanye to stop talking about it at every given opportunity,” kilisema chanzo hicho.

Kris na Kanye waliripotiwa kuwakwaruza tena kuhusiana na track ya Kanye iitwayo ‘Perfect B**ch’, ambayo alimwimbia Kim K.

“As far as Kris is concerned, the video with Ray J is history and since then Kim has become a reality TV star, a fashion designer, even a philanthropist – so she’s moved on.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents