Man City mambo ni moto Champions League yaichakaza FC Basel bila huruma

Manchester City imefanikiwa kusonga mbele katika michuano ya klabu bingwa barani Ulaya baada ya hapo jana kuchomoza na ushindi mnono wa mabao 4 – 0 dhidi ya timu ya FC Basel mchezo uliyopigwa katika dimba la St. Jakob-Park.

Waliyoibeba City wakiwa ugenini hapo jana ni Ilkay Gundogan aliyepiga mawili, Bernardo Silva na Sergio Aguero.

Kikosi cha Basel: Vaclik (4), Lacroix (5), Xhaka (5), Suchy (5), Lang (5), Frei (5), Serey Die (5), Riveros (4), Elyounoussi (5), Stocker (5), Oberlin (6).

Waliyokuwa benchi ni: Ajeti (5), Bua (5).

Kikosi cha Man City: Ederson (7), Walker (7), Kompany (7), Otamendi (7), Delph (7), Fernandinho (7), Gundogan (9), De Bruyne (8), Sterling (7), Bernardo (8), Aguero (8).

Na waliyokuwa benchi ni Danilo (n/a), Sane (6), Silva (6).

Mchezaji bora wa mchezo huo ni Ilkay Gundogan

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW