Michezo
Manuel Neuer awa nahodha mpya wa timu ya Taifa ya Germany
Kipa wa klabu ya Bayern Munich, Manuel Neuer amechaguliwa kuwa nahodha mpya wa timu ya Taifa ya Germany akirithi mikoba ya Bastian Schweinsteiger ambaye ametundika daruga.