Tupo Nawe

Marioo atoboa siri alichoambiwa na Diamond walipokutana Nigeria na kuhusu kusainiwa WCB – Video

Marioo atoboa siri alichoambiwa na Diamond walipokutana Nigeria na kuhusu kusainiwa WCB - Video

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva na mkali wa ngoma ya AYA @marioo_tz amefunguka kuhusu picha yake na @diamondplatnumz walipokutana nchini Nigeria.


@marioo_tz ameongeza kuwa hiyo picha ilizua gumzo sana kwa sababu hakuwa kuwa na picha akiwa na @diamondplatnumz Lakini pia walikutana wakali wawili yaani @diamondplatnumz na @marioo_tz
Pia @marioo_tz alieleza sababu za kufanya goma na @offcialcheed wa @kingsmusicrecords.

Kaka yake Alikiba ambaye ni shabiki mkubwa wa Diamond “Diamond alimtisha Wizkid na Rick Ross”

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW