Matokeo rasmi ya sensa yatoka, idadi ya watanzania ni milioni 44.9

Masai Men Dancing

Matokeo rasmi ya sensa yametoka. Idadi ya Watanzania ni milioni arobaini na nne nukta tisa. (44.9million).

Matokeo hayo yametangazwa leo katika viwanja vya Mnazimmoja jijini Dar es Salaam katika uzinduzi wa matokeo ya sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012.

Jumla: 44,929,002. TZ Bara 43,625,434 na Zanzibar 1,303,568

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW