Habari

Matukio ya mauaji yamepungua – Jeshi la polisi (+video)

Jeshi la Polisi nchini kupitia Mkuu wa Operation na mafunzo, CP Nsato Marijani amesema kuwa Matukio ya mauaji yamepungua hadi kufikia matukio 235 kwa kipindi cha Januari 2018, kutoka matukio 288 Januari 2017 pungufu ya matukio 53 sawa na 18.4% .

Alizungumza na Waandishi wa habari leo, Makao Makuu ya Jeshi la Polisi ameongeza kwa kusema kuwa Matukio ya kubaka pia yamepungua hadi kufikia matukio 588 Januari 2018 kutoka matukio 732 Januari 2017 pungufu ya matukio 144 ni sawa na 19.7%

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents