Jiunge ufaidi miezi 2 bure!

Maze B alazwa tena hospitali kwa Pneumonia

Msanii wa Chamber Squad, Maze B amelazwa hospitali kwa mjini Dodoma kwa kusumbuliwa na Pneumonia.

DSCN1059

Akiongea na E-News ya EATV, Maze amesema anaweza kuruhusiwa ‘soon’.

“Nilikuwa na tatizo la Pneumonia tokea mwezi wa 12 nikawa nipo vizuri nilivyo kuja tena Dodoma hali ikabadilika ndo nipo hospitali nimelazwa nasumbuliwa na maumivu ya kichwa na shingo, ” amesema.

“Nategemea kuruhusiwa muda wowote na sasa hivi naendelea vizuri.”

Related Articles

Check Also

Close
Bongo5

FREE
VIEW