Habari

Mbunge wa CCM aihoji serikali deni la miaka 36 iliyopita (+video)

Mbunge wa CCM, Abdallah Bulembo ameihoji serikali kuwa kuna wananchi wa Makoko Musoma waliachia eneo mwaka 1982 mpaka leo ni miaka 36 hawajalipwa haki yao ya Bilioni 1.4, Serikali inatoa tamko gani kwa wananchi hao? Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba anajibu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents