Mahojiano
Mdahao: Wasanii kulalamika muziki umeharikika nani wa kutupiwa lawama ? (+ Video)
Siku za hivi karibuni limeibuka sakata la wasanii kulalamika kuwa kwa sasa hakuna muziki mzuri bali ni kelele na fujo tu, mfano wa wasanii hawa ni Braka Da Prince na wengine.
Fuatilia mdahalo ufuatao:-
https://www.youtube.com/watch?v=A0J4LY4hM0w&t=146s
https://www.youtube.com/watch?v=A0J4LY4hM0w&t=146s